Je, wanaojiuza nao huwa wanapenda kimapenzi au moyo huo ulishakufa?

Je, wanaojiuza nao huwa wanapenda kimapenzi au moyo huo ulishakufa?

Threesome3

Member
Joined
Jun 27, 2021
Posts
74
Reaction score
59
Nauliza hivo kwasababu watu huwa wanawatumia watakavyo, yaani kama mdoli?

Na wao huwa hawaoneshi kama wanapata msisimko au hisia zaidi ya kutaka umalize achukue pesa yake.

1624947385479.png

 
Moyo wao ulishakufa lkn ukiona hela yako wanadindisha ghafla.
 
Nauliza hivo kwasababu !! Watu huwa wanawatumia watakavyo yaan kama mdoli?!
Na wao huwa hawaoneshi kama wanapata msisimko au hisia zaid ya kutaka umalize achukue pesa yake
Wengine hufanyia shida
Wengine biashara
Wengine stress
Wengine hobby
Wengine kufuata mkumbo
Wengine upweke
Lakini juu ya wote kila mmoja kati yao ana mtu rasmi ampandaye kwa hisia zake zote...!!!
 
Back
Top Bottom