Je, wanaotumia Azam tv wakiwasha kisimbuzi chao resolution inayosoma ni ipi?

Je, wanaotumia Azam tv wakiwasha kisimbuzi chao resolution inayosoma ni ipi?

Magwe lazaro

New Member
Joined
Jul 15, 2021
Posts
3
Reaction score
1
Habari naomba kuuliza nina decorder ya Azam tv resolution inayosoma kwenye hdmi niliyonunua dukani ni 1080i na quality ya picha sio nzuri ,,

Je, wanaotumia Azam tv wakiwasha kisimbuzi chao resolution inayosoma ni ipi?

Maana nilinunua kinga'muzi kwa mtu hakunipatia hdmi ,, nikanunua hdmi yangu dukani
 
Jaribu kuwa mtundu kidogo, kuna sehemu unabadilisha hiyo resolution.
 
Sehemu gani unaweza ukanielekeza kidogo tafadhali
Ndugu, unaonekana muoga sana, nenda kwenye setting (Remote) tafuta sehemu imeandikwa 'AV setting' (kama nitakuwa sahihi) hapo utakuta vitu kama aspect ratio pamoja na resolution unayoitaka nafikiri mwisho wao ni 1080p
 
Back
Top Bottom