matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ukimuangalia KFC anazeeka na ujasiliamali wake wa Migahawa, Ukimuangalia Warren Buffet anazeeka na ujasiliamali wake wa uwekezaji na alianza kutoboa akiwa mzee. Ukienda mjini Unakuta na vibabu na vibibi kizee vya kihindi vinazeeka kwenye ujasiliamali wao wa maduka, viwanda etc.
Wazee wa Kibongo wakistaafu na kuchoka woote utadhani wameambiana wanakimbilia kulima na kufuga. Nilikuwa na mzee wangu mmoja anasema anataka kupanda V8 yake azunguke nchi nzima kutafuta eneo la kulima na kufuga.
Nikajiuliza hawa wazee wetu wasomi mbona kuna mambo mengi wenzetu wanafanya wao wamechagua mambo magumu ambayo hayako nyuzi 90° na uwezo wao? Hii inajumuisha na wazee wanasiasa wote.
Kule kuna risk ya kuumwa na nyoka, kukoswa huduma nzuri za matibabu, usafiri ni shida, wadau wakikubadilikia hata msaada wa polisi tu inshu.
Je, nini chanzo cha huu ubunifu wa wazee wetu, je kuna chochote cha zaidi wanaweza kufanya kuliko hilo? Je wazee wa vijijini na wa mjini wakizeeka akili zinafanana?
Ni hayo tu.
Mtumishi Matunduizi.