Moja ya Sifa kuu ya Uchumi wa nchi ni kutengeneza Ajira kwa Watu wake
Je, Uchumi wa Tanzania unatengeneza Ajira za kutosha ukiondoa zile za sekta ya umma?
Je, sekta binafsi ikiongozwa na Mwajiri wao mkuu Mohamed Enterprise wanatoa Ajira au Vibarua?
Nimechokoza mada 🐼