Je Wanaume Wenzangu Mnajua Haya.?

Je Wanaume Wenzangu Mnajua Haya.?

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
sehemu za siri za mwanamke ni kavu ila mwanaume akizigusa hulainika
Hii inatufundisha kuwa mwanaume siku zote hufanya maisha ya mwanamke kuwa mepesi,
Sehemu za siri za mwanaume ni laini lakini mara tu mwanamke anapozigusa gusa huwa ngumu wakati huo huo...

Na hii inatufundisha kuwa siku zote mwanamke hufanya maisha ya mwanaume kuwa magumu pindi wakiwa pamoja.

TUSIBISHANE
 
Kwanini wanakuwa na vimasharti vingi visivyoeleweka kama wanafanyiwa maisha yao kuwa mepesi?
 
Ni sawa na kuisave hela ya shule wiki nzima ili weekend umpe mtoko hatari sana.😀

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
sehemu za siri za mwanamke ni kavu ila mwanaume akizigusa hulainika
Hii inatufundisha kuwa mwanaume siku zote hufanya maisha ya mwanamke kuwa mepesi,
Sehemu za siri za mwanaume ni laini lakini mara tu mwanamke anapozigusa gusa huwa ngumu wakati huo huo...
Na hii inatufundisha kuwa siku zote mwanamke hufanya maisha ya mwanaume kuwa magumu pindi wakiwa pamoja.
TUSIBISHANE
mbona habari ililetwa jana na juzi?
mna c&p wakuu?
 
sehemu za siri za mwanamke ni kavu ila mwanaume akizigusa hulainika
Hii inatufundisha kuwa mwanaume siku zote hufanya maisha ya mwanamke kuwa mepesi,
Sehemu za siri za mwanaume ni laini lakini mara tu mwanamke anapozigusa gusa huwa ngumu wakati huo huo...

Na hii inatufundisha kuwa siku zote mwanamke hufanya maisha ya mwanaume kuwa magumu pindi wakiwa pamoja.

TUSIBISHANE
maisha malaini yakichanganyika na maisha magumu unadhani nini kinatokea kama sio mchanganyiko wa watoto
 
Back
Top Bottom