willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,071
- 1,303
Ndiyomkuu je ni kweli mwanamke anapiga bao linatoka njee
Hakuna Kitu Hicho Kabisa, Watu wanamistaken "Vaginal Fluid" kwa "Ejaculation" tu.Jamani naomba msaada wa kisayansi nijue ukweli. Niko chuo na marafiki zangu tukisimuliana about sex utasikia jamaa anasema nimemla manzi mpaka kapiga bao likatoka kabisa nje zito tena jeupe mpaka kalishika kabisa.
Je ni kweli mwanamke anapiga bao (female orgasm) na linatoka njee? Kwa sababu ninavyojua mimi mwanamke anafanya internal orgasm wala kitu hakitoki njee.
Naomba kujuzwa.
Jamani naomba msaada wa kisayansi nijue ukweli. Niko chuo na marafiki zangu tukisimuliana about sex utasikia jamaa anasema nimemla manzi mpaka kapiga bao likatoka kabisa nje zito tena jeupe mpaka kalishika kabisa.
Je ni kweli mwanamke anapiga bao (female orgasm) na linatoka njee? Kwa sababu ninavyojua mimi mwanamke anafanya internal orgasm wala kitu hakitoki njee.
Naomba kujuzwa.
Elimu yetu ni jipu kubwa,mtu upo chuo (maybe chuo kikuuu!) na bado huna knowledge ya kutosha kuhusu orgasm??
Kuna uhusiano gani kati ya kuwa chuo na knowledge kuhusu orgasm!?Elimu yetu ni jipu kubwa,mtu upo chuo (maybe chuo kikuuu!) na bado huna knowledge ya kutosha kuhusu orgasm??
Orgasm ni syllabus ya O-level!chuo haina maana mtu ujue kila kitu.........japokuwa kuna baadhi ya vitu vya msingi kuvijua ni lazima
Mkuu ni tatzo la taifa, hii ni bios ya form two kama sio form one au sayansi darasa la saba,mtu anafika chuo kikuu hajui.Elimu yetu ni jipu kubwa,mtu upo chuo (maybe chuo kikuuu!) na bado huna knowledge ya kutosha kuhusu orgasm??