Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Kwenye keyboard hawezi ila ikitokea fursa ni dhahiri hawezi kumnyima. Huo ubavu hana wanawake na unafiki ni mapacha.
sasa Extrovert babaaa…huoni kuwa wewe ndio utakuwa mnafiki namba moja kabla yangu kwa kuisemea nafsi yangu?

Acha kukariri jombaa unauhakika gani huo ubavu sina?jizungumzie wewe kwanza sawa kiongozi😊
 
hata wewe demu wako au mkeo ni EX kwa wengine. Kwa hiyo analiwa kama unavyokula wengine. Ndo maisha yalivyo. Sharing is caring.
 
Malaya hakatai hata asipokuwa X. Ataringa ringa halafu atakupa.
Mkuu, basi tuseme binadamu wote ni malaya tu, Maana hii si mke wa mtu, si mme wa mtu.. Ex ni mhalibifu sana.
 
sasa Extrovert babaaa…huoni kuwa wewe ndio utakuwa mnafiki namba moja kabla yangu kwa kuisemea nafsi yangu?

Acha kukariri jombaa unauhakika gani huo ubavu sina?jizungumzie wewe kwanza sawa kiongozi😊
Huo ubavu huna bana mambo yasiwe mengi. Angekuwa huyo kijana ni garasa tu ambalo halijaweka alama yeyote hapo ningekubali ila ana mtoto na wewe na kafuta umaskini kwenye maisha yako hio ni ngumu. Kadanganye watoto
 
Haya mkuu mambo yasiwe mengi maana unaonekanaga na kujifanya unajua kila kitu😁

Kuna tofauti ya kujua vitu vingi na kujua kila kitu🥂.

Uwe na wakati mwema
 
Ndio usikae ukajiuliza kwanini vijana hawataki kuoa majibu unayo, sababu ya matukio
. Yeah ni kweli kabisa mkuu, Kuoa kunahitaji kifua..

. Kuna jama siku alikua anaoa lakini mke wake aliliwa na Ex wake chooni kabla shughuli ya ndoa haija aza.
 
Mie kuna EX wangu mmoja nampenda mpaka keshokutwa na hilo analijua. Ikitokea fursa tukakutana najua kabisa lazma tutatafunana tu.
 
Haya mkuu mambo yasiwe mengi maana unaonekanaga na kujifanya unajua kila kitu😁

Kuna tofauti ya kujua vitu vingi na kujua kila kitu🥂.

Uwe na wakati mwema
Sawa yaishie hapa, mi sio najua kila kitu ila mifano tunaishi nayo mtaani. Watu hata walioachana kwa vita kama Ukraine na Urusi bado wanakutana na kujazana mimba kabisa 😂
 
. Yeah ni kweli kabisa mkuu, Kuoa kunahitaji kifua..

. Kuna jama siku alikua anaoa lakini mke wake aliliwa na Ex wake chooni kabla shughuli ya ndoa haija aza.
Mtu akimkata mtu kichwa watu wanakuja juu, kuepusha Shari ni kujiweka pembeni tu km yule mwamba aliegundua mke anaetaka kumuoa Jana yake alilala na mpenzi wake wa zamani alafu kibaya zaidi na kwenye sherehe akaudhulia pia yaan Jana umekula mke wangu alafu leo unakuja kusherehekea ukumbini ukimuona anaolewa na Mimi wakati Jana yake umetoka kumfunuafunua na kumkunjakunja mikunjo yote unayoijua mpaka unataka kumtia ulemavu kwa kumkunjakunja na mbaya zaidi ukapita barabara zote vumbi na lami
 
Ulijichanganya sana mkuu

Huyo malaya alikuwa anakutumia tu

Next time acha kujipendekeza kwa hao viumbe

hata wewe demu wako au mkeo ni EX kwa wengine. Kwa hiyo analiwa kama unavyokula wengine. Ndo maisha yalivyo. Sharing is caring.
Ni kweli mkuu, ndo maana nikawaza, haya masuala ya kusema nakupenda sina mwingine zaidi yako 😒😒, Tunadanganyana sana.
 
Mie kuna EX wangu mmoja nampenda mpaka keshokutwa na hilo analijua. Ikitokea fursa tukakutana najua kabisa lazma tutatafunana tu.
😳😳, Alafu yaweza kuwa Umeoa, pengine na yeye ameolewa, Lakini bado tu.
 
Sawa yaishie hapa, mi sio najua kila kitu ila mifano tunaishi nayo mtaani. Watu hata walioachana kwa vita kama Ukraine na Urusi bado wanakutana na kujazana mimba kabisa 😂
Hakuna nouma mkuu lakini punguza kukariri itakusadia sana🥂🥂

Tuko pamoja
 
Unajielewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…