Je, Wanawake mnaweza Kweli kusahau Wapenzi wenu wa Zamani?

Yaani kwa jinsi unavyomwombea na kumshukuru akiamua kuwa mtu wa ovyo anaweza kupasha..., sema uombe aendelee kuwa mstaarabu hivyo hivyo
 
Kama mahusiano yaliisha basi yameisha, kusiwe na mazoea ambayo yatapelekea kupasha viporo, hata siku mkionana haitakua rahisi yaani mtaanzaje kukumbushia na hamjazoeana?. Nimejifunza ukiachwa achika.inawezekana kusahau kabisa Exs
Sawa mkuu, Namna ya kuachana na Ex kuna njia mbili,
. Moja mnachana kwa vita ya maji maji,
. Mbili mnachana kwa Amani kabisa bila mikuruzano yeyote ile,
Sasa ukiangalia sababu hizo mbili
 
Sawa mkuu, Namna ya kuachana na Ex kuna njia mbili,
. Moja mnachana kwa vita ya maji maji,
. Mbili mnachana kwa Amani kabisa bila mikuruzano yeyote ile,
Sasa ukiangalia sababu hizo mbili
Ni kweli mkuu, ila tu kama tayari anaitwa Ex hamna haja ya kuwa na mazoea,iwe kwa amani au vita mngekua mnapendana kweli msingeachana bana. Ex asahaulike na asirudiweπŸƒ
 
Wanasahau sana. Japo mazingira yaki wakutanisha wanarika kirahisi.

Mfn. Ameenda semina akakutana na x wake huo mkoa aliopo, hapo jamaa akijiongeza ni simple tu.

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app

Japo mazingira yaki wakutanisha wanarika kirahisi.
😬😬, Zinaaza simu, nakuja maeneo ya kwenu huko, fanya mpango tuonane,..
 
Kama mahusiano yaliisha basi yameisha, kusiwe na mazoea ambayo yatapelekea kupasha viporo, hata siku mkionana haitakua rahisi yaani mtaanzaje kukumbushia na hamjazoeana?. Nimejifunza ukiachwa achika.inawezekana kusahau kabisa Exs
Hawala hana taraka, ukitaka unampata.

Mwanamke ambaye once alikuvulia chupi, huwa Hana ujanja ukimtaka tena.
 
Ulitaka kusemaje kwani kama mmeachama kwa AMANI ni rahisi lkn kama ukipigwa tukio ni vigumu kukutana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…