Je, wanawake wanapenda show za kibabe au kipolepole?

Sure kaka.. Haya mambo hayana formula
 
Mwanaume mbabe

Shoo ya ki babe

Goli la kibabe....hapa hachepuki mtu
 
Wanawake hawana formula bt kwa ushauri tu ni kwmba we wapelekee moto tu
 
Mpango wetu vipi sasa, hii ndo 2022 tuliyojipangia kuachana na usingle, bajaji zangu zimeongezeka pesa inayoingia kwa siku inatutosha sana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sitaki kuwa single tena, njoo babe B
 
Shusha wazungu lalaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½
 
Hizo mnazoita show za Kibabe ndizo ambazo mara nyingi hupelekea premature ejaculations.
 
Shkamoo [emoji119]!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…