Je? Wangapi Imewahi Kuwatokea Hii...!!

Je? Wangapi Imewahi Kuwatokea Hii...!!

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
613
Reaction score
791
Ni kumbukumbu tu
kwa sie tulio ishi uswaz miaka ile ya 2000 kuja chini...

Unatumwa dukan ukanunue mafuta ya kupikia unapewa 1000/= hafu ww unaamua kupitia sehem unanunua andaz la sh mia ili ukanunue mafuta ya 900/=
Na ukafika wanakouza mafuta wamefunga....

Hahahaha.....

Apo ndo kutafuta mafuta mpaka phamacy [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mm nilitumwa sgara na mzee flan jirani, nikaenda kununua pipib nyeupe za madonge zote, alaf wakati nimerudi nikaulizwa mbona umechelewa kurudi(wakati huku natafuna pipi mdomoni na mipengo yangu) KILICHOFUATA NITAKUJA KUSIMULIA KESHO
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom