Je wangapi tumemiss Ile mivurugano pale Simba ikirudi?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Je wangapi tumemiss Ile mivurugano pale Simba

sometimes mpira ni mchezo wa hisia Nilikuwa naenjoy sana zile moments za ndugu zetu wanasimba wakiimba hatumtaki mangungu ....mara hatumtaki mudi.....mara makolo wanalia Baada ya mechi. it was a best ever enjoyable moment by then

japo sipendi wanasimba warudi kuteseka ...ila napenda zile moment zirudi kidogo naona makolo wameanza kuota vitambi

NB: kitengo Cha fitina ....naomba kiingie kazini[emoji23][emoji23]
1734286893937.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwasasa Simba wanajenga timu, uwanjani kazi waneachiwa marefa, Yaani refa anapambana mpaka anataka kulia.
Ita tafutwa penalty kwa lazima, yaani kuna Muda refa ana changanyikiwa.

Yaani timu inasajili wachezaji wa kigeni kwa mamilioni, inalipia vibali, inalipa mishahara na posho bado una nunua na matokeo ya uwanjani na kwa uzuzu wa mashabiki wanashangilia.
Aliye waita mbumbumbu hakuwa na makosa.
 
Kujenga timu ndo wabebwe[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
👆
Je wangapi tumemiss Ile mivurugano pale Simba

sometimes mpira ni mchezo wa hisia Nilikuwa naenjoy sana zile moments za ndugu zetu wanasimba wakiimba hatumtaki mangungu ....mara hatumtaki mudi.....mara makolo wanalia Baada ya mechi. it was a best ever enjoyable moment by then

japo sipendi wanasimba warudi kuteseka ...ila napenda zile moment zirudi kidogo naona makolo wameanza kuota vitambi

NB: kitengo Cha fitina ....naomba kiingie kazini[emoji23][emoji23]View attachment 3236165

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Utopolo mtaendelea kupata tabu tu mpaka Siku mtakapogundua adui yenu halisi Mwaka huu ni nani..?

Adui yenu ni Umri' Wa Wachezaji Wenu..! Washakuwa Wazee, wamechoka.!
Aliyesema Yanga anapata tabu ni nani? 😀 msipokuwa makini na msimu huu hata nafasi ya 3 hamtashika
 
Aliyesema Yanga anapata tabu ni nani? [emoji3] msipokuwa makini na msimu huu hata nafasi ya 3 hamtashika
Timu yenyye wachezaji vijana unafunga goli moja or mawili[emoji23][emoji23]

Yanga ( wachezaji wazee) inafunga goli 4...5...6.. 7

Cross multiplication [emoji23]

Back
Top Bottom