Kujenga timu ndo wabebwe[emoji23]Kwasasa Simba wanajenga timu, uwanjani kazi waneachiwa marefa, Yaani refa anapambana mpaka anataka kulia.
Ita tafutwa penalty kwa lazima, yaani kuna Muda refa ana changanyikiwa.
Yaani timu inasajili wachezaji wa kigeni kwa mamilioni, inalipia vibali, inalipa mishahara na posho bado una nunua na matokeo ya uwanjani na kwa uzuzu wa mashabiki wanashangilia.
Aliye waita mbumbumbu hakuwa na makosa.
Je wangapi tumemiss Ile mivurugano pale Simba
sometimes mpira ni mchezo wa hisia Nilikuwa naenjoy sana zile moments za ndugu zetu wanasimba wakiimba hatumtaki mangungu ....mara hatumtaki mudi.....mara makolo wanalia Baada ya mechi. it was a best ever enjoyable moment by then
japo sipendi wanasimba warudi kuteseka ...ila napenda zile moment zirudi kidogo naona makolo wameanza kuota vitambi
NB: kitengo Cha fitina ....naomba kiingie kazini[emoji23][emoji23]View attachment 3236165
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mbna timu nyingi zimekula 5G, 6G wakiwemo makolo ....Utopolo mtaendelea kupata tabu tu mpaka Siku mtakapogundua adui yenu halisi Mwaka huu ni nani..?
Adui yenu ni Umri' Wa Wachezaji Wenu..! Washakuwa Wazee, wamechoka.!
Nchi ilichangamka ....Simba walivopitia football depressionUna inaonekana mumeo wa zamani alikua simba.
Makolo washaanza ota vitambi [emoji23][emoji23]Acha gubu mkuu
Aliyesema Yanga anapata tabu ni nani? 😀 msipokuwa makini na msimu huu hata nafasi ya 3 hamtashikaUtopolo mtaendelea kupata tabu tu mpaka Siku mtakapogundua adui yenu halisi Mwaka huu ni nani..?
Adui yenu ni Umri' Wa Wachezaji Wenu..! Washakuwa Wazee, wamechoka.!
Timu yenyye wachezaji vijana unafunga goli moja or mawili[emoji23][emoji23]Aliyesema Yanga anapata tabu ni nani? [emoji3] msipokuwa makini na msimu huu hata nafasi ya 3 hamtashika