Halafu kwenye tawala zao hawaongozwi na wajingaWanyama wanapendana na kuthamiana hasa wale wa Jamii au familia moja. Huwezi kuona Simba au Fisi anamuua au kumuonea / kumnyima haki Simba au Fisi mwenzake.
Sasa Wanyama Sisi tuliorithi ile dhambi iliyofanywa na Hawa pale bustani ya Edeni. Tunaoneana, tunadhurumiana haki zetu wenyewe kwa wenyewe na kurogana pia.