MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,373
Tangu jana nimekua nikiumiza Kichwa kwakua niliona BATA (Wanaofugwa) akimgomea mtoto mwenye umri kama wa miaka saba kutii amri ya kuingia ndani kwao. Yule mtoto akimchapa yule bata fimbo, yule bata anamfukuza yule mtoto kwa hasira.
Lakini yule bata alipo niona mimi akawa ananikimbia. Sasa nikawa najiiuliza, utambuzi gani anaufanya huyu bata, jamii ya ndege ambae ni mpole sana.
Vile vile, wanyama jamii ya Nyani au Tumbiri, huwa hawa waogopi akina Mama hata wawe kundi, ila wakimuona Mwanamume mmoja tu, wanamkimbia.
Tunaweza kutoa maelezo gani juu ya hili?