FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ni aina ya printer ambayo inakuwezesha kuprint kwenye plate ya chuma (silver) kwa mtindo wa kupasha mto karatasi lenye picha juu ya hicho kibati hadi picha yote inahamia kwenye kibati, na bei yake complete ikoje? Naambatanisha video kwa ufafanuzi zaidi