FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nunua heatpress ya kawaida au 3d sublimation vacuum printer pia uwe na inkjet sublimation printer ndio hivyo tuNi aina ya printer ambayo inakuwezesha kuprint kwenye plate ya chuma (silver) kwa mtindo wa kupasha mto karatasi lenye picha juu ya hicho kibati hadi picha yote inahamia kwenye kibati, na bei yake complete ikoje? Naambatanisha video kwa ufafanuzi zaidi
Kwani mi nimekataa kuvinunua? Nataka kujua wapi wanauza (wapi nitapata)? Maana kariakoo kote ninakouliza naonekana kama mwendawazimu tuNunua heatpress ya kawaida au 3d sublimation vacuum printer pia uwe na inkjet sublimation printer ndio hivyo tu
MasprintKwani mi nimekataa kuvinunua? Nataka kujua wapi wanauza (wapi nitapata)?
Details za wapi wanapatikana au link ya instagram au website yao pleaseMasprint
Special ya PVC card tu au inayoprint na karatasiMwenye Priner inayoprint vitambulisho saizi ya ATM card anipm! Siwataki watu MasuminPrint ways ni wapigaji!
AhsanteMasprint +255 716 163 696
Bei ni
3D vacuum 2.3M + VAT na EFD ni 2,714,000
Heatpress 1M - 1.2M
Inkjet printer Epson l805 800k
HayaAhsante