Ajaribu kwanza UENYEKITI pale Ufipa, uone kama hajatolewa dirishani na mwenye chama.Tuwe wakweli, Lissu anaweza kuongoza Serikali? Kwa akili ipi? Siwezi kumzunhumzia Salum Mwalimu maana huyo hata U Sheha hawezi seuse Umakamu wa Rais?
Hujaona watu wanateuliwa toka vyuoni wanakuwa mawaziri, nk. Hata kama hawajawahi kuwa wanasiasa? Mfano Dr Philip Mpango (fedha), Prof Ndalichako (elimu), Prof Kabudi, Prof Mbalawa, nkHuwezi ku linganisha Tanzania tuliyo nayo mwaka 2020 na Tanzania tuliyo kuwa nayo mwaka 1961. Nyerere kuwa rais wa kwanza kuna tokana na yeye kuwa mtu aliye ongoza Tanzania kutoka katika mifumo ya ki koloni. Kupata undani wa kilicho tokea kipindi hicho ni ngumu lakini vile vile katika masuala haya ni vyema kuji uliza kama kulikuwa na mtu mwingine ambaye angekuwa sahihi zaidi kuliko mwalimu Nyerere...
Awamu hii ya Tano vyama vya upinzani vinaweza kuwa na mahusiano ya nje mazuri kuliko serikali ya CCM!Huwezi ku linganisha Tanzania tuliyo nayo mwaka 2020 na Tanzania tuliyo kuwa nayo mwaka 1961. Nyerere kuwa rais wa kwanza kuna tokana na yeye kuwa mtu aliye ongoza Tanzania kutoka katika mifumo ya ki koloni. Kupata undani wa kilicho tokea kipindi hicho ni ngumu lakini vile vile katika masuala haya ni vyema kuji uliza kama kulikuwa na mtu mwingine ambaye angekuwa sahihi zaidi kuliko mwalimu Nyerere...
Ukiacha Burundi, Magufuli ana mahusiano yoyote ya maana na nchi gani?Mada kuu ni kama wapinzani wana mahusiano ya kutosha na nchi za nje. Hicho ni kitu muhimu sana, au vipi mzee wa Sumbawanga
Daudis,Wewe unadhani uzoefu ndo excuse, nchi haendeshwi kama gari hata wapinzani wakishika watafanya poa usitoe ignorant thoughts
Kwani ktk ule uchaguzi nani alishinda?Hawana huo uwezo, ndio maana 2015 walivunja mpaka katiba yao ili kumpa mwenye uwezo kugombea. Wakajua jamaa atapita, ile awavushe wana saccos wote watanzania tukawa very smart. Safari hii, wembe ni ule ule.
Ahahahahahah! Huo haaminiki hata kidogo halafu apewe Urais?Ajaribu kwanza UENYEKITI pale Ufipa, uone kama hajatolewa dirishani na mwenye chama.
Unazijua kura mil 6?Na mwaka huu ni zaidi ya hizo!Sasa huoni unaandika ujinga uliopuuzwa!Hapo ndio maajabu yanapoanzia. Hii nchi sio saccos, watanzania lazima wajue huu ukweli. Kule kurukaruka jukwaani kwa jazba, kukashfu kila Serikali ifanyacho hakuwezi kuwasaidia. Watanzania wanaona, wanaelewa na wataamua.Nyie na saccos yenu, jipangeni kwanza 2040.
Chama cha mapinduzi kina mahusiano gani mazuri na yakutosha na nchi zingine? amebaki M7 na mrithi wa Nkuruzinza.Mada kuu ni kama wapinzani wana mahusiano mazuri na yakutosha na nchi zingine
Unapo enda mlimani city na ku enjoy kuku wa KFC lazima ufahamu kwamba, ili hio KFC iwepo mlimani city lazima kuna diplomacy flani. Lazima kuna mahusiano flani na sisi wenyewe hatu wezi ku ruhusu mtu yoyote afanye kazi pale.Ukiacha Burundi, jiwe ana mahusiano yoyote ya maana na nchi gani?
Umeongea Naked Truth! Sijui mleta maada alikuwa anawaza kitu ganiUzoefu? Kipindi Nyerere anapewa nchi alikua na uzoefu wa Urais au kuongoza nchi before? Solution ilitolewa na Katiba ya warioba kuwa mawaziri wasitokane na wabunge ili kutoa nafasi kwa wataalamu kusimamie sekta nyeti...
Pole sana ndugu yangu. Unauelewa duni sana kuhusu mahusiano ya demokradia na shughuli za kisiasa na uchumi. Kama unauelewa hata ule wa kawaida, jibu maswali yafuatayo utajiongezea maarifa:Unapo enda mlimani city na ku enjoy kuku wa KFC lazima ufahamu kwamba, ili hio KFC iwepo mlimani city lazima kuna diplomacy flani. Lazima kuna mahusiano flani na sisi wenyewe hatu wezi ku ruhusu mtu yoyote afanye kazi pale. Kitu kidogo kama hicho kinaweza kuwa na maafa makubwa sana. Tuangalie kwenye madini, ambapo kampuni ya Barrick gold ya Canada ina husika kwenye uchimbaji, hapo pia lazima kuna mahusiano flani kati ya Tanzania na Canada. Tafakari...
Serikali imara, kutokana na nilicho eleza, ni serikali yenye mahusiano mazuri na nchi zingine. Ukitaka kujenga barabara za lami vijijini uta waita ASTRA, kampuni ya kimarekani iliyo bobea kwenye masuala ya ujenzi. Diplomacy my dearNini maana ya Serikali imara?
Mbona CCM awamu hii imeshindwa kuunda serikali imara?...