Je. Wasanii wa Bongofleva na Wacheza filamu walisusia msiba wa Mafisango?

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,410
Reaction score
1,325
Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale TCC Chang'ombe. Wana matatizo gani au ni kwa sababu marehemu hakuwa msanii mwenzao?
 
walikua bz na maandalizi ya Arobaini ya Kanumba
 
Ulifanya rollcall vizuri?!, unawajua wote?!. Yawezekana walikuwepo.
 
Mkuu, huna haja ya roll call, mbona wanajulikana tu. Na wanavyopenda kuuza sura lazima ungewaona. Ni kwamba hawakuwepo!
 
kwani wacheza mpira walikuwepo kwny mazishi ya kanumba?
 
Back
Top Bottom