Marumeso JF-Expert Member Joined Oct 3, 2009 Posts 1,410 Reaction score 1,325 May 21, 2012 #1 Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale TCC Chang'ombe. Wana matatizo gani au ni kwa sababu marehemu hakuwa msanii mwenzao?
Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale TCC Chang'ombe. Wana matatizo gani au ni kwa sababu marehemu hakuwa msanii mwenzao?
Malunkwi JF-Expert Member Joined Jan 19, 2011 Posts 338 Reaction score 80 May 21, 2012 #2 luck said: Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale TCC Chang'ombe. Wana matatizo gani au ni kwa sababu marehemu hakuwa msanii mwenzao? Click to expand... walikua bz na maandalizi ya Arobaini ya Kanumba
luck said: Nilishangaa haya makundi mawili hayakuonekana pale TCC Chang'ombe. Wana matatizo gani au ni kwa sababu marehemu hakuwa msanii mwenzao? Click to expand... walikua bz na maandalizi ya Arobaini ya Kanumba
Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,265 Reaction score 4,735 May 21, 2012 #3 Ulifanya rollcall vizuri?!, unawajua wote?!. Yawezekana walikuwepo.
Marumeso JF-Expert Member Joined Oct 3, 2009 Posts 1,410 Reaction score 1,325 May 21, 2012 Thread starter #4 Gama said: Ulifanya rollcall vizuri?!, unawajua wote?!. Yawezekana walikuwepo. Click to expand... Mkuu, huna haja ya roll call, mbona wanajulikana tu. Na wanavyopenda kuuza sura lazima ungewaona. Ni kwamba hawakuwepo!
Gama said: Ulifanya rollcall vizuri?!, unawajua wote?!. Yawezekana walikuwepo. Click to expand... Mkuu, huna haja ya roll call, mbona wanajulikana tu. Na wanavyopenda kuuza sura lazima ungewaona. Ni kwamba hawakuwepo!
Mkare_wenu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 1,714 Reaction score 448 May 21, 2012 #5 kwani wacheza mpira walikuwepo kwny mazishi ya kanumba?