The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Mkuu umesababisha nimecheka kama kichaa.
Acheni utani bana,Mkuu umesababisha nimecheka kama kichaa.
Kwani haji manara yukoje mkuu?
Hiyo kawaida mbona hushangai mbele, wasanii kama wanne wana miliki bidhaa za vilevyi Diddy ana ciroc, Lil Wayne ana Bumbu, Jay Z na Dj khaleed wote nao wana vilevyi.
Hili ni jambo nalojiuliza, je wasanii wetu hawana au hawawezi kubuni kitu kingine zaidi ya marashi?
Jana Haji Manara amezindua pafyum yake, kuna pafyum ya Diamond, kuna bodyspray ya mwana FA.
Kwa nini wasanii wetu wamekosa ubunifu mwingine?
Alikiba yeye amekuja na uwakala wa kinywaji ila bei ghali sana, yeye anasema hashushi bei na wanaompenda watanunua, yeye akili yake inadhani biashara imejikita kwenye upendo, kwamba msingi mkuu wa biashara ni kupendwa kwake( hili nitalizungumzia siku nyingine).
Mada inaendelea.
Sioni tatizo, hebu angalia list ya wasanii wanao miliki vinywajiHili ni jambo nalojiuliza, je wasanii wetu hawana au hawawezi kubuni kitu kingine zaidi ya marashi?
Jana Haji Manara amezindua pafyum yake, kuna pafyum ya Diamond, kuna bodyspray ya mwana FA.
Kwa nini wasanii wetu wamekosa ubunifu mwingine?
Alikiba yeye amekuja na uwakala wa kinywaji ila bei ghali sana, yeye anasema hashushi bei na wanaompenda watanunua, yeye akili yake inadhani biashara imejikita kwenye upendo, kwamba msingi mkuu wa biashara ni kupendwa kwake( hili nitalizungumzia siku nyingine).
Mada inaendelea.
9 Celebrities Who Own Booze BrandsNadhan kuna huyu publicist wa wabongo beatrice ndugu ndo atakua anawatia ujinga..idea ile ile sasa hv utasikia shetta naye katoa perfume
READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
Umewaza nini mkuu kumsema Haji! [emoji41]
Kwani ww hujaielewa mbona ipo wazi, usisome title soma content ndio utaielewa vizuri Wasanii kuwa na bidhaa zinazofanana sio kwamba hawana ubunifu, huwezi jua kwani kila mtu ana njia zake za kuwin soko.Hivi nikuulize, yeezy ni ya Kanye West au Adidas? Ukielewa hapa naona ndio utajua Chibu perfume ni ya nani.Umeisoma vizuri hiyo article..usijekuja nambia tu chibu perfume nayo ya diamond
READERS ARE LEADERS
cc
VITABU