K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Jan 26, 2025 #1 Hebu kamuulizeni Mzee Wasira tofauti ya TV na online TV tuone kama anajua. Tanzania inabadilika kwa haraka na wazee wengi hawajui
Hebu kamuulizeni Mzee Wasira tofauti ya TV na online TV tuone kama anajua. Tanzania inabadilika kwa haraka na wazee wengi hawajui
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 Jan 26, 2025 #3 Ni maendeleo yaliyotengenezwa na CCM
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 8,406 Reaction score 9,619 Jan 26, 2025 #4 Mzee wangu hajui, that's kila akivaa koti anapitanisha vifungo