Viongozi Yanga waache siasa zisizo na tija, scouting ya mwaka jana waingie chimbo walete wachezaji kama kina max, pacome na Yao!!
Huu ujinga wa kusajili wachezaji wanaojikuta mastaa kwenye timu utatugharimu, leta Dube Chama achana nae kabisa, tunataka timu yenye umoja, mchezaji kama Aziz k msimu huu kakiwasha Wala hana makuu, tusilete virusi