Je watalaka wanaweza wakagawana deni la mkopo.?

Je watalaka wanaweza wakagawana deni la mkopo.?

Ndara Mbovu

Senior Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
155
Reaction score
83
Kawaida watu wakitalakiana wanagawana mali walizochuma.

Ikiwa mali izo zilipatikana baada ya mmoja kuchukua mkopo binafsi benki na bado anadaiwa.

Je wawili hawa wanaweza kugawana deni la mkopo pia.

NB: swala linaenda mahakamani,sheria inasemaje apo?
 
Wanagawana kilichobaki baada ya madeni na mali iliyokopewa (dhamana) haiwezi kufanyiwa mabadiriko,vigezo na mashariti kuzingatiwa!
 
Back
Top Bottom