Ndara Mbovu Senior Member Joined Feb 28, 2017 Posts 155 Reaction score 83 Aug 19, 2019 #1 Kawaida watu wakitalakiana wanagawana mali walizochuma. Ikiwa mali izo zilipatikana baada ya mmoja kuchukua mkopo binafsi benki na bado anadaiwa. Je wawili hawa wanaweza kugawana deni la mkopo pia. NB: swala linaenda mahakamani,sheria inasemaje apo?
Kawaida watu wakitalakiana wanagawana mali walizochuma. Ikiwa mali izo zilipatikana baada ya mmoja kuchukua mkopo binafsi benki na bado anadaiwa. Je wawili hawa wanaweza kugawana deni la mkopo pia. NB: swala linaenda mahakamani,sheria inasemaje apo?
casanova69 JF-Expert Member Joined Sep 14, 2015 Posts 2,361 Reaction score 2,166 Aug 19, 2019 #2 Wanagawana kilichobaki baada ya madeni na mali iliyokopewa (dhamana) haiwezi kufanyiwa mabadiriko,vigezo na mashariti kuzingatiwa!
Wanagawana kilichobaki baada ya madeni na mali iliyokopewa (dhamana) haiwezi kufanyiwa mabadiriko,vigezo na mashariti kuzingatiwa!