FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,112
- 2,822
Kwanini unajiita Jinga?Watanzania hawakuwahi kuutaka upinzani ilikuwa ni busara za Mwalimu Nyerere.
Mtu akiwa mfupi, kuna ubaya akijiita kafupi ?Kwanini unajiita Jinga?
Poleni kwa kuzimiwa internet.
Nirejee kwenye mada yangu,Je watanzania wanaweza kweli kupigania kuikomboa nchi toka kwa mkoloni mweusi huyu. Kila siku tumekuwa tukiona matukio mengi ya uonevu kutoka chama dola lakini hakuna siku watanzania wakachukua hatua stahiki za kuwawajibisha wahusika.
Kila mara wanasiasa na wanaharakati wakiwaasa raia ku organize maandamano hakuna kinachotokea na wananchi wanajifungia chumbani kwa uoga.
Je, kuna siku wananchi wa nchi hii wataweza kusema enough is enough na kuamua kupigania haki zao kama wenzetu malawi,kenya na sehemu zingine.
Wakat mwingine hata kutegemea vyombo vya ulinzi vikatae udhalimu ni bure tu kwa kuwa sehemu nyingi ambapo jeshi lilifanya hivyo n baada ya kuona nguvu ya umma ikifanya kazi mfano Sudani.
Kwa nionavyo mimi nadhan watanzania watatawaliwa milele wakiendelea kuwa hivi hivi bila kubadilika.
Upinzani wa tz ni udanganyifu na uhadaa mtupu, wamepoteana kabisa.Watanzania hawakuwahi kuutaka upinzani ilikuwa ni busara za Mwalimu Nyerere
Jibu kwa hoja sio matusi. Hakuna maslahi ya nchi kwa hiki kinachoendelea bali maslahi ya genge lililoamua kukalia nchi kibabe.Unazungumzia mabadiliko yapi mkuu ya vyama au maendeleo ya nchi. Mkuu wewe PUMBa sana. Acha tu kuandika. Weka maslahi ya nchi Acha ushabiki wa kimpira mpira. JPM ni mweusi anayetosha sana. Shida yenu manawaza vyama badala ya kuwaza nchi. Kwa aina ya USANII NA MATUSI MATUSI. MTATAWALA SUDANI. WATANZANIA WAJANJA SANA. NA LISSU ALIKOSEA SAN KULETA VITISHO VYA FUJO. HAPO MTZ AKAONA NDO APUNGUZE KABISA KURA. POLE SANA JPM ANA NGUVU. ANA NYOTA NA NI RAIS TUNAYEMUHITAJI TZ. NOW UNTIL 2025. atapumzikaa.
Kwa hyo tatizo ni elimu? so far elimu yetu pia wanaichezea sana nadhan lengo pia ku create wajinga wengi ili watawaleMkuu.wa Tz hatuna shida kiviileee...yaan hakuna tabu hizo mnazosema.watu wanalima wanakula...hawalipi kodi..watu wanakula bata..hakuna kusumbuana...etc...
Kwa wakat uliopo huwes ona hata sku1 wakiandamana au kuleta vita.sabab kila mtu ameridhika na maisha yake
Ila kadiri watu wanavoenda shule na elimu baada ya miaka 20 ndio utaiona hyo Tz unayoitaka wewe..yenye harakat etc...
Watanzania tunataka maendeleo sio mabadiliko🇹🇿🇹🇿🇹🇿Poleni kwa kuzimiwa internet.