Je, Watanzania mmejiandaa vipi kisaikolojia kwa ujio mpya wa Richmond (Dowans)?

Tunashukuru mvua zinaendelea kumiminika kwa wingi na za kutosha, tuendelee kumuomba Mungu azidi kuleta za kutosha
 
Lowasa ndiye Mwanasiasa aliye niaminisha kwamba kwenye siasa ".........pesa ni kila kitu na kila mtu kwenye siasa ananulika ......".

Waache wajipigie tu Mwendazake kaondoka na yake.
 
Lowasa ndiye Mwanasiasa aliye niaminisha kwamba kwenye siasa ".........pesa ni kila kitu na kila mtu kwenye siasa ananulika ......".

Waache wajipigie tu Mwendazake kaondoka na yake.
Nilimpuuza Mbowe na Chadema yake baada ya Lowassa kuwanunua... Nimebaki kupigania tumbo langu na la familia yangu maana siasa ni ajira kama ajira zingine na mtaji ni umaskini wa wapiga kura....
 
 
Uelewa wa watanzania upo juu kwenye kila sekta kwa uelewa huu ndugu tulionao tunaweza kulala barabarani.
 
Ndio hivyo, kikosi kazi cha upigaji kimeshawekwa kila sekta
Hii kero ya mbuzi wa mjini kurandaranda na kuvamia majani ya jamii inasikitisha sana, na wanazurura bila hata wasiwasi na wamenenepeana sana, hakuna wa kuwachunga na wala hawafungwi kamba ili kuwadhibiti,

Hawa wenye majani yanayovamiwa na mbuzi hawa kila siku, watavumilia tu siku zote?? Maana wao wanajiimbia tu mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe
 
Kariakoo toka asubuhi hakuna umeme, tunaandaliwa kisaikolojia
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…