Je! Watanzania mnataka serikali ngapi???

Je! Watanzania mnataka serikali ngapi???

JE! MANATAKA SERIKALI NGAPI

  • SERIKALI 1

    Votes: 4 30.8%
  • SERIKALI 2

    Votes: 0 0.0%
  • SERIKALI 3

    Votes: 9 69.2%

  • Total voters
    13

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2011
Posts
251
Reaction score
155
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WA MWAKA 1964 ULIZAA TANZANIAYA SASA UMO MASHAKANI. WANASIASA, WANAHARAKATI, SERIKALI, NA WANANCHI. WOTE KWA PAMOJA WANABISHANA MITAANI, MAJUKWAANI, KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDOO YA JAMII. LAKINI NAOMBA KUKATA MZIZI WA FITINA HAPA JF. JE MNATAKA SERIKALI NGAPI. PIGA KURA HAPA...
-SERIKALI MOJA- TANZANIA
-SERIKALI MBILI - BARAZA LA MAPINDUZI NA SERIKALI YA MUUNGANO
-SERIKALI TATU- ZANZIBAR, TANGANYIKA NA SERIKALI YA MUUNGANO

:help:MODERATOR NAOMBA USIITOE HII POST TUPATE UKWELII..:help:
 
wazanzibari walimshutukia mr.dhaifu wakaanza harakati za kujitenga na sasa washirika wanachama wa EA nao wameshtuka wameanza kujitenga,nashauri tanganyika ismame yenyewe bila kutegemea ushirika.
 
Tunataka serikali ya Tanzania au ya tanganyika,wazanzibar wanataka serikali ya Tanzania au ya zanzibar baaas!!baada ya hapo tutaongea kuhusu muungano.
 
wazanzibari walimshutukia mr.dhaifu wakaanza harakati za kujitenga na sasa washirika wanachama wa EA nao wameshtuka wameanza kujitenga,nashauri tanganyika ismame yenyewe bila kutegemea ushirika.

hivi huyo huyo unayemwita mr dhaifu...akienda arusha na udhaifu wake akahukua fomu ya kujitoa EAC unadhani hao washirika unaowaona wako strong wataendelea kuwa strong? most likely watakuja kumwomba asijitoe kwa sababu wanajua bila TZ EAC haipo....ni marafiki wa mashaka.
 
Kukosa common goal ndio chanzo cha urafiki wa mashaka,znz na tanganyika waliungana kupinga ukolon na uasi kupitia pande mojamapo,leo kila nchi yataka juwa huru kiuchumi ila zapaswa kuwa na nguvu kiuchumi kufanya hivo lazma ziungane na kuwa taifa la kibepari au kijamaa zisizofungamana naupande wowote"open door policy" aina ya muungano hutegemea sana mfumo wa uchumi mf uk,usa au china pia ujerumani kusini na mashariki ambavyo leo ujeruman inavyoisumbua jumuia ya ulaya wakati awali haikua na nguvu hio labda tujenge daraja na znz kama ujeruman alivyovunja ukuta wa berlin
 
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WA MWAKA 1964 ULIZAA TANZANIAYA SASA UMO MASHAKANI. WANASIASA, WANAHARAKATI, SERIKALI, NA WANANCHI. WOTE KWA PAMOJA WANABISHANA MITAANI, MAJUKWAANI, KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDOO YA JAMII. LAKINI NAOMBA KUKATA MZIZI WA FITINA HAPA JF. JE MNATAKA SERIKALI NGAPI. PIGA KURA HAPA...
-SERIKALI MOJA- TANZANIA
-SERIKALI MBILI - BARAZA LA MAPINDUZI NA SERIKALI YA MUUNGANO
-SERIKALI TATU- ZANZIBAR, TANGANYIKA NA SERIKALI YA MUUNGANO

:help:MODERATOR NAOMBA USIITOE HII POST TUPATE UKWELII..:help:

Serikali moja tu - Yaani Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Unguja na Pemba zikiwa ni mkoa kama ilivyo mikoa mingine).
Vinginevyo, basi hakuna muungano kabisa.
 
kwanini wewe utaki muungano

Mungu aliweka mipaka ya Tanganyika, na siyo Tanzania. Mimi binafsi nataka Tanganyika yetu irudi na hapa ndipo tutakapoona maendeleo ya kweli ya taifa letu. Hivi sasa kupitia muungano kumejaa waganga njaa na kukomba mali za Tanganyika yetu. Hili haliwezi kuendelea siku zote. na ndiyo maana tupotupo kama mbumbu tuu! Haiwezekani!
 
Mi kiukweli naitaka Tanganyika irudi ,na cpend ambavya hii rasimu ya katiba mpya ambavyo washiriki wa tume ambavyo hawataki kutamka wazaiwazi jina TANGANYIKA nachukia na cjui kiini hasa nn ni nini????utaona mara Tanzania bara mara Tanganyika mara wht,huu ni upuuzi yaani wananikera kinyama yaani hivi ni vigumu kuitamka Tanganyika kwa jina lake?????
 
Back
Top Bottom