JOHN MADIBA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2011
- 251
- 155
nasubiri kura zenu hapo juuuuuu
wazanzibari walimshutukia mr.dhaifu wakaanza harakati za kujitenga na sasa washirika wanachama wa EA nao wameshtuka wameanza kujitenga,nashauri tanganyika ismame yenyewe bila kutegemea ushirika.
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR WA MWAKA 1964 ULIZAA TANZANIAYA SASA UMO MASHAKANI. WANASIASA, WANAHARAKATI, SERIKALI, NA WANANCHI. WOTE KWA PAMOJA WANABISHANA MITAANI, MAJUKWAANI, KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA MITANDOO YA JAMII. LAKINI NAOMBA KUKATA MZIZI WA FITINA HAPA JF. JE MNATAKA SERIKALI NGAPI. PIGA KURA HAPA...
-SERIKALI MOJA- TANZANIA
-SERIKALI MBILI - BARAZA LA MAPINDUZI NA SERIKALI YA MUUNGANO
-SERIKALI TATU- ZANZIBAR, TANGANYIKA NA SERIKALI YA MUUNGANO
:help:MODERATOR NAOMBA USIITOE HII POST TUPATE UKWELII..:help:
kwanini wewe utaki muunganoSwali la kwanza ungeuliza ikiwa tunautaka muungano au la kisha utuulize wenye serikali ngapi!!!
kwanini wewe utaki muungano
Mungu aliweka mipaka ya Tanganyika, na siyo Tanzania. Mimi binafsi nataka Tanganyika yetu irudi na hapa ndipo tutakapoona maendeleo ya kweli ya taifa letu. Hivi sasa kupitia muungano kumejaa waganga njaa na kukomba mali za Tanganyika yetu. Hili haliwezi kuendelea siku zote. na ndiyo maana tupotupo kama mbumbu tuu! Haiwezekani!
Swali la kwanza ungeuliza ikiwa tunautaka muungano au la kisha utuulize wenye serikali ngapi!!!