Ameshindwa yeye na familia yake Mimi walaa simo maana hajawahi nisaidia hata 100 yake ya kula!!!sihusiki naye kwa lolote yeye ni mtanzania mwenzangu tu riziki yake hainihusu
It is a wake-up call, msanii ni kioo cha jamii. Kama jamii haikubaliani na jambo fulani, msanii hawezi kuwa mkubwa kuliko jamii. Ajipange upya jamii itamfurahisha zaidi