Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo.
Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu.
Mwingine utasikia akiseme fulani ni mkora akimaanisha mwizi.
Wanasema eti kunyampa, kunyanduana na maneno mengine ya ajabu ajabu.
Yapo maneno mengi ya ovyo yanayoanza kunyemelea Kiswahili na kukinyima ladha yake na stahiki yake.
Je, inakuwaje tunaruhusu watu wasiojua Kiswahili watufundishe maneno yao ya kufinyanga?