Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Wana matumizi mabaya sana ya lughaKiswahili sio mali ya Tanzania pekee
Tanzania haina hati miliki ya kiswahili
Kuna kiswahili cha Tanzania, cha kenya,cha Kongo nk
Hata kingereza kuna cha uingereza,Cha marekani nk
Kenya wana cha kwao mfano kunawa mkono wao husema kuoga mkono kwao kuosha eneo lolote la mwili huita kuoga
Unaoga mwili mzima,unaoga.mkono,unaoga mguu nk
Daladala wao huita matatu na mtu ukitaka kushuka unamwambia kondakta bwaga hapo
Kwao ni sahihiWana matumizi mabaya sana ya lugha
So afadhali hayo kuliko jitu linaandika ela badala ya hela, apa badala ya hapa nkKuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo.
Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu.
Mwingine utasikia akiseme fulani ni mkora akimaanisha mwizi.
Wanasema eti kunyampa, kunyanduana na maneno mengine ya ajabu ajabu.
Yapo maneno mengi ya hovyo yanayoanza kunyemelea Kiswahili na kukinyima ladha yake na stahiki yake.
Je inakuwaje tunaruhusu watu wasiojua Kiswahili watufundishe maneno yao ya kufinyanga?
Ukienda hotelini usiseme naomba chakula watakutimua wanajua wewe ni ombaomba unatakiwa kusema Leta chakulaDemu wanamuita manzi Tanzania wanaiita Tizii
Woooi, usiniambie babangu Yethu na Malia. Wooi, utasikia rire rinataka kuluka ukuta. Nenda kanda ya ziwa mwanangu utakufa kwa hasira. Hawa angalau wanajua maana ya maneno na kasoro yao ni lugha zao mama tuwasamehe bure tu mwanangu.So afadhali hayo kuliko jitu linaandika ela badala ya hela, apa badala ya hapa nk
🤣 🤣 🤣Woooi, usiniambie babangu Yethu na Malia. Wooi, utasikia rire rinataka kuluka ukuta. Nenda kanda ya ziwa mwanangu utakufa kwa hasira. Hawa angalau wanajua maana ya maneno na kasoro yao ni lugha zao mama tuwasamehe bure tu mwanangu.
🤣 🤣 🤣Ukienda hotelini usiseme naomba chakula watakutimua wanajua wewe ni ombaomba unatakiwa kusema Leta chakula
Na hiki "kiswahili" cha "kushika simu" sijawahi kukielewa! Eti "nimejaribu kumpigia lakini hashiki (hapokei) simu"Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo.