je Watanzania tunaiga mambo ya kigeni sana kwenye maswala ya mapenzi?

nderingosha

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2011
Posts
4,285
Reaction score
3,250
wasalaam wanajamii!! mimi nimekuwa nikijiuliza sana jinsi jamii yetu ambavyo imekuwa ikibadilika kwa kasi ya ajabu hata kwenye maswala ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla haswa kwa kuiga tamadduni za wenzetu wazungu kwa kupitia mitandao.Mifano michache: siku hizi kufunga ndoa hakuhitaji sana mtu kufanya research ya kutosha,hili linajionyesha kwa jinsi ambavyo ndoa zinafungwa baada ya mda mfupi wa mahusiano,ndoa zinavunjika baada ya mda mfupi sana(hata kama zimefungwa makanisani),siku hizi wanawake kuwapata si jambo gumu hata kidogo(tena wao hutongoza wanaume siku hizi),wanawake au wanaume kutoka nje ya mahusiano(hata kama wameoa au kuolewa)ni kitu cha kawaida sana siku hizi,maswala ya tigo yamo kwenye jamii kwa kiasi kikubwa sana(kuna sehemu mwanamke anatembea na mwanamme alafu yeye mwenyewe anamgeuzia mwanamme kuitisha tigo eti kwani umemaliza mh bado!),mashoga na ma lesbo siku hizi wametapakaa kila mahali,ngono katika umri mdogo imezidi siku hizi,ukija kwenye maswala ya mtu binafsi: utakuata mwanamke anaweka pini mpaka sehemu za siri na vitovuni,maswala ya mawigi na ma cosmetics kibao mpaka chini,hata haya maswala ya kunyoana vipara chini(mbona mama zetu na baba zetu hawakuwa nayo?),ndiyo tunapenda vipara lakini tunaiga(eti hata wanaume wananyoa mpaka vifua mh!) na mwisho hata kwenye maswala mazima ya sita kwa sita, tunaiga style tena zile unique ambazo si za kawaida(mfano dogy style etc).Wandugu najua mtasema tupo kwenye zama za utandawazi lakini maadili ya jamii yameporomoka na matokeo ya mtindo huu mzima wa maisha ni ongezeko la maradhi yanayoambukiza e.g ukimwi kwani kasi ya matamanio na kuongeza majaribio baada ya kuiga ni kubwa.Naleta mjadala kwenu.............
 
Hata kuvaa nguo tumeiga tulikuwa tunavaa ngozi enzi hizo kwa hiyo hakuna maendeleo bila kuchukua mfano. Kuiga ni kuzuri pale unapochukua mazuri na kuacha mabaya sasa kama akili yako inakuwa fupi unaiga hata yasiyohusu utajijua huko mbele ya safari.
 
hizi ndio kati ya hasara za utandawazi. jamii inakuwa exposed na cultures tofauti tofauti, na inakuwa ngumu kubaini kipi ni kizuri cha kuiga na kipi kiachwe kipite. mimi nadhani viongozi wa dini na wana familia wana nafasi kubwa ya kuelekeza jamii, na kufundisha maadili bora kutokana na misingi ya imani, mila, desturi na tamaduni zetu.
 
Aahh jamani huna hata paragraph? Na hauko kwenye mobile?? Nitarudi kumalizia kusoma maana nimeona kizunguzungu kabisa. Yaani wewe uanjua kuweka mabano tu
 
Back
Top Bottom