Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

Masoud06

New Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
3
Reaction score
4

Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

 
Kumekuwa na kawaida ya watanzania kuumia kisa uwepo wa madalali hasa kwenye kutafuta nyumba za kupanga,frame za biashara,ofisi,stoo au maeneo ya biashara ,ambapo madalali huhitaji viwango vikubwa vya malipo kama mwezi mmoja wa kodi ili kumpangisha mteja jambo amabalo huwaumiza sana wapangaji na hulipa kwakuwa hawana namna.

Pia , kutumia muda mwingi kutembea kutafuta nyumba na kuishia kukosa na kutupa pesa kiasi cha kuwafanya watu wawe na stress wanapofikiria kuhama.

Mimi nimekuja na suluhisho la kuandaa Application maaalumu itakayotambulika kwa sheria na taratibu zoote za nchi ambapo hiyo itakuwa na kazi kuu ya kuwakutanisha wenye makazi,ofisi n.k za kupangisha na wapangaji ambapo nyumba na ofisi zitakuwa zikipatikana kwanjia ya App kisha mpangaji akiipenda nyumba atabook moja kw amoja kwawenye nyumba ili aweze kupata huduma hiyo.
Lakini najiuliza je watanzania wako tayari kupokea mabadiriko haya ya kiteknolojia? Wadau naomba tujadiriane hili.
Wewe utanufaika vipi?
 
Wewe utanufaika vipi?
Ukiangalia vizuri matumizi ya WhatsApp,X,inst Or YouTube ni platform ambazo ni bure but creator wananufaika kw a kadiri ya wingi wa matumizi ya watu kujiunga na platform hivyo hupata faida kw a matangazo nk so kunufaika ni kadiri watuamini wanavyokuwa wengi kwenye platform na utangazaji wa matangazo kwenye kama hiyo.

Mfano mwingine ni kama Bolt au Uber so hoja ya muhimu ni kulifanya soko la upangaji kuwa salama zaidi.
 
Back
Top Bottom