Je, watoto hawana jinsia?

Je, watoto hawana jinsia?

HAKI bin AMANI

Senior Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
156
Reaction score
34
Kuna Waziri wa Wanawake, Jinsia na Watoto. Je, wanawake ni nini na jinsia ni nini na je, watoto hawana jinsia?
 
Kwangu nafikiri jinsia imetumika kama Gender ikimaanisha mgawanyiko wa kazi.
 
Mh jamani kuna vitu viwili hapa Gender(jinsia) and Sex(jinsi) then hii wizara iliwekwa tu kwani ilibidi iwe ni dept kwenye wizara ya maendeleo ya jamii.
Gender is to be man or a woman and sex is to be a male or a female.then ukisema gender ni mgawanyiko wa kazi utakuwa hauko sahii sana kwani kazi jamii hakuna za man au a woman.
 
Back
Top Bottom