Je, watu chotara ndiyo watu bora kabisa duniani?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Habarini,

Kisayansi inasemwa kuwa kadri kiumbe kinavyokuwa na mchanganyiko mwingi wa vinasaba ndani yake, ndivyo ubora wake na chance yake ya kusurvive inavyokuwa kubwa.

Ndiyo sababu kubwa ya kukataza ndugu kuoana, ni ili ule mchanganyiko upatikane. Zamani familia za kifalme walikuwa wanoana wao kwa wao. hili lilipelekea wawe wanapata matatizo sana, magonjwa ya akili na matatizo mengine ya kigenetic.

kwa mantiki hiyo, inaonekana mtoto anayezaliwa kwa watu ambao hawahusiani kabisa, mfano watu wa rangi tofauti, wana mchanganyiko mkubwa zaidi kuliko watoto wa wazazi wa kabila moja au nchi moja au rangi moja.

Je, watoto chotara ndiyo bora kuliko wote?
 
Mimi ni chotara wa Kikinga na Kichagga
 
Back
Top Bottom