Kuna baadhi ya ndugu dar wana maisha mazuri kuliko lakini hawataki wageni.. hata kama wanajua ww sio mtu wa kukaa sana kwao, na una cha muhimu kilichokupeleka dar, still hawataki uende kwao..sio dar tu, hata huku mikoani kuna watu hawapendi wageni witnessj The Icebreaker wa kupulizaHaya yote yanasababishwa na umasikini tu.
Ila wajaluo Ni kiboko.
Kuna dogo mmoja alikuja Dar toka huko kwao usweken kanda maalum akafikia kwa ndugu zake. Asubuhi aliambiwa atengeneze chai na vitafunio vilikuwepo vingi tu dogo akaona Maisha si ndio haya. Ile anasubiriya waitwe mezani akaambiwa amsindikize mtoto kituo Cha Basi akapande school bus. Dogo alitimiza Kama alivyoambiwa Ila alivyorudi alikuta wenyeji walishakunywa chai yote na vitafunio vyote na baba alimuambia vaa chap twende mjini. Dogo akawa amepiga desh masuala ya chai. Kule town baba alimzungusha tu bila kumtafutia kazi au Nini lengo lake nyumbani wale Cha mchana ili wakifika home saa kumi wakute Cha mchana kilishaliwa. Mzee mwenyewe kule mjini alishakula wali wake. Ilipofika jioni Kama ujuavyo watu wa Dar usiku wanakula viwali ambavyo kule Tarime vinapewa mtoto Tena mgonjwa. Jamaa hivyo viwali vikawa ndio breakfast, lunch na dinner. Wakalala. Asubuhi like zoezi likarudiwa Tena, yaani yeye ampeleke dogo kituoni awahi school bus, kurudi anakuta watu walishakunywa chai long time.
Kama ilivyo kawaida watu wa mkoani wanaogopa njaa kuliko ukoma. Dogo alitangaza kurudi Tarime. Mzee akaulisa yeye. Nauli unayo? Dogo akawa Hana nauli, Basi mama wa nyumba Ile akasema isiwe tabu. Wana sehemu uani inahitaji ilimwe kuliko wampe hicho kibarua mtu mwingine, watampa dogo ili apate nauli.
Basi kila siku dogo akiamka anamuwahisha dogo stendi ya school bus, akirudi chai ilishanywewa anachukua jembe anakwenda kuhenya uani. Mchana hastuliwi Wala Nini mpaka jioni ndio ale vi wali.
Dogo alimaliza Ile kazi ya kulima ndani ya wiki ili apate nauli. Na walivyo washenzi walimpa nauli tu bila ya kula njiani.
Dogo ameapa kwamba yule sio ndugu yake Tena na mke wake wa kipare wote sio binadamu.
Hata Mimi sipendi wageni.Kuna baadhi ya ndugu dar wana maisha mazuri kuliko lakini hawataki wageni.. hata kama wanajua ww sio mtu wa kukaa sana kwao, na una cha muhimu kilichokupeleka dar, still hawataki uende kwao..sio dar tu, hata huku mikoani kuna watu hawapendi wageni witnessj The Icebreaker wa kupuliza
Saa ingine unaeza ukamwazia mtu mabaya, kumbe mwenzio hana hayo mabaya unayomuwazia.Hata Mimi sipendi wageni.
Wanakuja kuchunguza unaishije na mkeo especially Kama mkeo sio kabila lako wapate la kumsema.
Wageni hasa ndugu wanavuruga sana Ndoa!Kuna baadhi ya ndugu dar wana maisha mazuri kuliko lakini hawataki wageni.. hata kama wanajua ww sio mtu wa kukaa sana kwao, na una cha muhimu kilichokupeleka dar, still hawataki uende kwao..sio dar tu, hata huku mikoani kuna watu hawapendi wageni witnessj The Icebreaker wa kupuliza
Aisee pole sana Mkuu dah hao wenyeji wako walizidi jamaniMimi nilifika dar.usiku saa tano kuangaza mwenyeji hayupo ubungo.kupiga sim hapatikani hee.baada ya masaa mawili ndio napigiwa na dada wa kazi umefika wapi dada kalala, chukua bodaboda ikupeleke fery uvuke kuja kigamboni saa saba na nusu hiyo usiku.nafika kigamboni sim haipatikani nikakaa hapo na walinzi baadae anapiga chukua boda tena ikulete dege.hata dege sipajui jamani huyo boda boda alikua ana pepeza pikipiki kila nikitaka kuongea midomo haiwezi sababu ya supidi, Tukawa tunatokomea tu nauliza bado anasema bado saa tisa usiku hiyo, mpaka nafika saa kumi.kufika hamna maji ya kuoga hamna chakula.nikalala nashtuka saa kumi ba mbili dada ananiambia amka tufanye usafi nikasema bado napumzika.Akasema Lazima tutoe magodoro.Nikahamia sebuleni ile usingizi unaanza naambiwa hata hapo nakuja kakae nje.Dah sitasahau nimeacha mkoani mjengo wangu wa maana kitanda nateseka wallah nilitoa chozi.Nilipata homa kali sikununua hata biashara nikarudi nyumbani baada ya siku tatu.mpaka leo nikija Dar nina ndugu lakini nafikia Hotel.Bora lawama kuliko fedheha
Hhhaaaa kukaa kwa watu hakuna uhuruKuna jamaa kaamshwa asubuhi magodoro yanatolewa nje
Hahahahahahahah
GENTAMYCINEila watu wa mijini na kwenye majiji kuna haja ya kujitafakari.
Mwana DSM ukienda mikoani huko au vijijini ukifika ni kawaida sana kukuta ndugu zako walikuwa wanakusubiri stendi zaidi ya saa ufike, umefika utachinjiwa kuku siku ya kwanza, utaishi hata mwezi na hakuna mtu atakupa maswali ya unaondoka lini, misosi utakula utasaza, ukiondoka utapewa hata debe la unga au maharage na hapo ukunbuke wewe ulipeleka tu mkate, unavyoondoka unasindikizwa kabisa wengine wanakubebea begi, kiufupi watu wa huko wengi ni wakarimu.
Ishu inakuja kwa watu wa Dar sasa, yani hata ndugu kaja kumpokea tu ni mtihani, mwenyeji anatoa maelekezo mgeni ampe simu bodaboda na malipo atalipa mgeni ambae hata hio hela haikuwa kwenye bajeti, akifika msosi ulioandaliwa ni ugali tembele yani ugeni wake ni kama hauthaminiki kama sio kumkomoa, baada ya salamu mwenyeji atakua bize na simu au mke wake kitu kinachoanza kukaribisha upweke kwa mgeni, mgeni akikaa siku 2 tu anaanza kuulizwa anaondoka lini, siku ya kuondoka pekee labda ndio mgeni husindikizwa maana ndio anasepa ni kama mzigo umetoka.
Sasa nauliza hivi watu wa huko mikoani nao wakiamua kwenda kwa style hizo kama zenu, je patatosha?
Kuna watu hawana aibu, ataweka kambi utafikiri ndo kahamia....Hhhaaaa kukaa kwa watu hakuna uhuru
Ila mgeni akija unatakiwa umkarimu hata kidogo basi
Sema binadamu tumekuwa wabinafsi sana
Pia tuache kwenda kwa watu kila mtu akae kwao ahahhha
As long as she/he can stay.....under my rules by the way.Wewe mgeni kwako anamaliza siku ngapi?π
Pia kutaka kila anachokiona au kuombaKuna watu hawana aibu, ataweka kambi utafikiri ndo kahamia....
Daah..!! Pole sana ...Mimi nilifika dar.usiku saa tano kuangaza mwenyeji hayupo ubungo.kupiga sim hapatikani hee.baada ya masaa mawili ndio napigiwa na dada wa kazi umefika wapi dada kalala, chukua bodaboda ikupeleke fery uvuke kuja kigamboni saa saba na nusu hiyo usiku.nafika kigamboni sim haipatikani nikakaa hapo na walinzi baadae anapiga chukua boda tena ikulete dege.hata dege sipajui jamani huyo boda boda alikua ana pepeza pikipiki kila nikitaka kuongea midomo haiwezi sababu ya supidi, Tukawa tunatokomea tu nauliza bado anasema bado saa tisa usiku hiyo, mpaka nafika saa kumi.kufika hamna maji ya kuoga hamna chakula.nikalala nashtuka saa kumi ba mbili dada ananiambia amka tufanye usafi nikasema bado napumzika.Akasema Lazima tutoe magodoro.Nikahamia sebuleni ile usingizi unaanza naambiwa hata hapo nakuja kakae nje.Dah sitasahau nimeacha mkoani mjengo wangu wa maana kitanda nateseka wallah nilitoa chozi.Nilipata homa kali sikununua hata biashara nikarudi nyumbani baada ya siku tatu.mpaka leo nikija Dar nina ndugu lakini nafikia Hotel.Bora lawama kuliko fedheha
Jamaa alikosea sana kwa hiyo walivyomfanya hvyo kipi kimeongezeka kwao au wangempa tu chakula kipi wangepoteza...mtese mtu kivingne ila swala la chakula mpe alee "naamini kwenye kutoa kuna nguvu"Ila wajaluo Ni kiboko.
Kuna dogo mmoja alikuja Dar toka huko kwao usweken kanda maalum akafikia kwa ndugu zake. Asubuhi aliambiwa atengeneze chai na vitafunio vilikuwepo vingi tu dogo akaona Maisha si ndio haya. Ile anasubiriya waitwe mezani akaambiwa amsindikize mtoto kituo Cha Basi akapande school bus. Dogo alitimiza Kama alivyoambiwa Ila alivyorudi alikuta wenyeji walishakunywa chai yote na vitafunio vyote na baba alimuambia vaa chap twende mjini. Dogo akawa amepiga desh masuala ya chai. Kule town baba alimzungusha tu bila kumtafutia kazi au Nini lengo lake nyumbani wale Cha mchana ili wakifika home saa kumi wakute Cha mchana kilishaliwa. Mzee mwenyewe kule mjini alishakula wali wake. Ilipofika jioni Kama ujuavyo watu wa Dar usiku wanakula viwali ambavyo kule Tarime vinapewa mtoto Tena mgonjwa. Jamaa hivyo viwali vikawa ndio breakfast, lunch na dinner. Wakalala. Asubuhi like zoezi likarudiwa Tena, yaani yeye ampeleke dogo kituoni awahi school bus, kurudi anakuta watu walishakunywa chai long time.
Kama ilivyo kawaida watu wa mkoani wanaogopa njaa kuliko ukoma. Dogo alitangaza kurudi Tarime. Mzee akaulisa yeye. Nauli unayo? Dogo akawa Hana nauli, Basi mama wa nyumba Ile akasema isiwe tabu. Wana sehemu uani inahitaji ilimwe kuliko wampe hicho kibarua mtu mwingine, watampa dogo ili apate nauli.
Basi kila siku dogo akiamka anamuwahisha dogo stendi ya school bus, akirudi chai ilishanywewa anachukua jembe anakwenda kuhenya uani. Mchana hastuliwi Wala Nini mpaka jioni ndio ale vi wali.
Dogo alimaliza Ile kazi ya kulima ndani ya wiki ili apate nauli. Na walivyo washenzi walimpa nauli tu bila ya kula njiani.
Dogo ameapa kwamba yule sio ndugu yake Tena na mke wake wa kipare wote sio binadamu.
Dah, hao ndugu zako sio wastaarabu.Mimi nilifika dar.usiku saa tano kuangaza mwenyeji hayupo ubungo.kupiga sim hapatikani hee.baada ya masaa mawili ndio napigiwa na dada wa kazi umefika wapi dada kalala, chukua bodaboda ikupeleke fery uvuke kuja kigamboni saa saba na nusu hiyo usiku.nafika kigamboni sim haipatikani nikakaa hapo na walinzi baadae anapiga chukua boda tena ikulete dege.hata dege sipajui jamani huyo boda boda alikua ana pepeza pikipiki kila nikitaka kuongea midomo haiwezi sababu ya supidi, Tukawa tunatokomea tu nauliza bado anasema bado saa tisa usiku hiyo, mpaka nafika saa kumi.kufika hamna maji ya kuoga hamna chakula.nikalala nashtuka saa kumi ba mbili dada ananiambia amka tufanye usafi nikasema bado napumzika.Akasema Lazima tutoe magodoro.Nikahamia sebuleni ile usingizi unaanza naambiwa hata hapo nakuja kakae nje.Dah sitasahau nimeacha mkoani mjengo wangu wa maana kitanda nateseka wallah nilitoa chozi.Nilipata homa kali sikununua hata biashara nikarudi nyumbani baada ya siku tatu.mpaka leo nikija Dar nina ndugu lakini nafikia Hotel.Bora lawama kuliko fedheha
Walimfanyia ukatili [emoji23]Hahaaaa pole mkuu na alilipia kweli nauli ya boda maana kutoka ferry mpaka dege kwa usiku boda hua wanakomaa cha ten 10000
Hahaa dah nimecheka kinoma kudaadeki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]We kijana umenikumbusha mbali sana, kijijini kwetu ukimkosa mwenyeji wako unaweza kulala kwa yeyote na siku nyingine utasaidiwa kufika unapoenda
Mimi nilikuja kwenu mwenyeji alipotea kwenye simu, akajitolea kijana mmoja nikadhani mwema kumbe alikuwa anamvizia jogoo niliyombebea ndugu yangu kama zawadi
Hadi inakuja akili ya kwenda Nyumba ya wageni nilikuwa nimeibiwa hela zote, nisingikutana na watu wa nyumbani ningerudi kijijini kwetu kwa miguu
Siji tena Dar... hamna utu nyie watu
πππWapare. Hawa watu waone hivi hivi. Kuna dogo mmoja na babu yake walienda kwa babake mdogo aliyeoa mama mpare. Kumbe mmama ule ugeni akawa hakuupenda. Basi akafanya jitihada chakula kisiliwe mchana mpaka arudi kazini. Dogo akakomplein kwa baba mdogo na kuambiwa shida iko wapi? Wewe ukisikia njaa ingia jikoni pika ule na babu yako ambaye Ni baba mzazi wa dume la nyumba hapa Ni kwenu. Habari hii ikamfikia mama wa kipare aliyekua anafanya kazi tanesko.
Hapa Dar watumishi wa tanesko hawalipi umeme hivyo wengi wanapikia umeme tafauti na sisi wengine.
Babu nae licha ya kupenda mapochopocho yaliyokua yanapikwa na dogo pia alikua mpenzi sana wa tiivii hasa ITV.
MAMA WA KIPARE KAONA KUWAKATA STIMU HAWA WAGENI NI KUONDOKA NA ILE CUT OUT. Cutout Ni ka kifaa Fulani ukikaondoa pale karibu na mita umeme hauingii ndani. Basi mpare asubuhi akienda kazini anachomoa cutout inamaana nyumbani hakupikwi Wala hakuna feni na tiivii mpaka jioni akirudi. Baba mwenye nyumba alipohoji alijibiwa live bila chenga kwamba weka mita yako Kama unataka ndugu zako wataidi umeme.
Siku tatu nyingi, mzee na dogo waliomba nauli ya kurudi Kanda maalum.
Unafikiri chanzo cha hayo yote ninini?Kuna baadhi ya ndugu dar wana maisha mazuri kuliko lakini hawataki wageni.. hata kama wanajua ww sio mtu wa kukaa sana kwao, na una cha muhimu kilichokupeleka dar, still hawataki uende kwao..sio dar tu, hata huku mikoani kuna watu hawapendi wageni witnessj The Icebreaker wa kupuliza