Je watumishi tutalipwa arears kama ilivyo kwenye mikataba

Je watumishi tutalipwa arears kama ilivyo kwenye mikataba

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
687
Reaction score
1,454
Kwenye mikataba tuliyosaini sisi watumishi wa serikali,kuna kipengele kinasema you shall be entitled to annual increment every July, swali langu ni kwamba mpaka sasa hatujaongezwa mishahara mpaka sasa kinyume na mikataba,Je serikali ikija kupandisha salary Je swala la arears ltakaaje,naweza kwenda mahakamani kudai haki yangu?
 
Back
Top Bottom