Je watumishi tutalipwa arears kama ilivyo kwenye mikataba

shonkoso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2015
Posts
687
Reaction score
1,454
Kwenye mikataba tuliyosaini sisi watumishi wa serikali,kuna kipengele kinasema you shall be entitled to annual increment every July, swali langu ni kwamba mpaka sasa hatujaongezwa mishahara mpaka sasa kinyume na mikataba,Je serikali ikija kupandisha salary Je swala la arears ltakaaje,naweza kwenda mahakamani kudai haki yangu?
 
Kama ipo kwenye mkataba ni haki yako. Ukinyimwa kadai mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…