lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Je,waunga juhudi mkono mwezi huu wa 10 watapita bila kupingwa?
Miaka 3 au miaka 2 iliyopita waunga mkono juhudi kwa namna moja au nyingine walipitishwa na chama cha mapindinduzi katika nafasi mbalimbali kwa dhana inayoitwa kupita bila kupigwa
Waunga juhudi mkono walipita bila kupigwa katika ngazi ya chama na pia walipita bila kupingwa katika ngazi za chaguzi mbalimbali
Swali.ambalo wananchi wengi wanajiuliza ni je,kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu mwezi wa 10 waunga mkono juhudi watapitishwa tena bila kupingwa?
Je, kwenye chama watapitishwa bila kupigwa tena?
Je, waunga mkono juhudi katika uchaguzi ngazi mbalimbali za udiwani ubunge na urais mwezi huu wa 10 je watapitishwa bila kupigwa?
Je, waunga mkono juhudi watakuwa waliuziwa mbuzi kwenye gunia?
Je, waunga mkono juhudi watakuwa wamepewa gololi nao wakagawa dhahabu bila wao kujua?
Waswahili wanamsemo usemao kuwa wajinga ndio waliwao