Baltazary,Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame,Mtawala etc . Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende,Jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto yesu,walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine,Wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode. Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
😂😂 Mkuu majasusi ni watafuta habari za ndani za jambo wanalolihitaj kwa lengo maalum, Although Mamajusi wao walikuwa wasoma ramani kwa issue zijazo ambazo zinatoa taswira ya jambo lijalo.Hivi neno sahihi ni mamajusi, au majasusi?. Najua Bibilia inasema 'mamajusi'. Ilikuwaje hili neno tena likawa majasusi.
Mkuu, mamajusi ni watu walioabudu moto na wanaofuata dini ya kale ya Zoroastrianism ya Persia (Iran ya kale). Majasusi ni spies au watu wanaokusanya habari ya mambo ya siri (secret agents).Hivi neno sahihi ni mamajusi, au majasusi?. Najua Bibilia inasema 'mamajusi'. Ilikuwaje hili neno tena likawa majasusi.
Mkuu swali zuri kabisa hili. Na naimani umeshapata majibu hapo chini. Kwa nyongeza tu, na uelewa kidogo nilionao, mamajusi walikuwa watu watabiri na walitumia sana nyota kueleza mambo yajayo. Watawala waliwatumia kujua mambo yajayo.Hivi neno sahihi ni mamajusi, au majasusi?. Najua Bibilia inasema 'mamajusi'. Ilikuwaje hili neno tena likawa majasusi.
Hapana,mamajusi ni wataalamu wa mambo ya angani yaani nyota na vinginevyo kwa lugha ya sasa wangeitwa astrophisicians,kwa ulimwengu wa leo uanawapata NASA na mashirika mengine kama ESA (European Space Agency),hapa nchini kwetu sidhani kama tuna kitengo hicho.Mkuu, mamajusi ni watu walioabudu moto na wanaofuata dini ya kale ya Zoroastrianism ya Persia (Iran ya kale). Majasusi ni spies au watu wanaokusanya habari ya mambo ya siri (secret agents).
Neno halisi ni Magi akiwa ni mmoja kwa lugha ya Mesopotamia , wakiwa wengi ni Magus. Kwa kiswahili ni Maju akiwa mmoja, wakiwa wengi ni Majusi.Hivi neno sahihi ni mamajusi, au majasusi?. Najua Bibilia inasema 'mamajusi'. Ilikuwaje hili neno tena likawa majasusi.
Mimi zamani nilikuwa najuwa mamajusi ni Akina mama,ila nilikuwa sijui wanajishughilisha na nini akina mama hao😂😂 Mkuu majasusi ni watafuta habari za ndani za jambo wanalolihitaj kwa lengo maalum, Although Mamajusi wao walikuwa wasoma ramani kwa issue zijazo ambazo zinatoa taswira ya jambo lijalo.
Daaa utoto raha sana, vile kuna neno 'mama' basi ukajua kabisa hapa nani wanahusika.Mimi zamani nilikuwa najuwa mamajusi ni Akina mama,ila nilikuwa sijui wanajishughilisha na nini akina mama hao
Umeyasikia wapi hayo majina?Baltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .
Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.
Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
Haya majina umeyapata wapi? Hayamo kwenye BibleBaltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .
Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.
Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
Mamajusi tulikuwa watano, umemuacha Mshana Jr na uncle GuDume Bujibuji Simba NyanaumeBaltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .
Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye 5!
Hawa mamajusi walitoka nchi ya Parthian (Iran ya sasa) na walikuwa makuhani wa dini ya Uzoroasta (Zoroastrianism)ya huko ParthianBaltazary, Merichioly na Gasper - Haya ndio majina ya MamaJusi watatu waliokuwa maarufu kwa kusoma nyota na walipoona Nyota mbali walimwambia mfalme Herode kuwa Hiyo ni ishara kuwa aliyezaliwa atakuwa mtu mkubwa - Mfame, Mtawala etc .
Hivyo Herode aliwaambia wakamuone mtoto wakirudi wampe taarifa Ili na yeye aende, jamaa wakajiongeza maana walishagundua nia ya Herode ilikuwa ni kumuua mtoto Yesu, walipofika walimsujudia wakampa zawadi wakasepa zao kurudi kwao kwa njia nyingine, wala hawakumfahamisha bwana Mkubwa Herode.
Story hii inatufundisha mambo mengi sana, hata katika maisha ya Sasa.
Hapa kwetu hakuna watalamu wa nyotaHapana,mamajusi ni wataalamu wa mambo ya angani yaani nyota na vinginevyo kwa lugha ya sasa wangeitwa astrophisicians,kwa ulimwengu wa leo uanawapata NASA na mashirika mengine kama ESA (European Space Agency),hapa nchini kwetu sidhani kama tuna kitengo hicho.