Je, waweza bandika picha ya mtoto bafuni kwako?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Swali liko bayana!

Kama wengine wanavyoweka picha vyumbani au sebuleni!

Je: Waweza Bandika picha (Laminated) ya mtoto wako bafuni kama ishara ya upendo?

Ni sawa au hapana! KWANINI? Maana bafu nacho ni chumba!
 
mmmh!
mtoto wa kumzaa au mtoto anayekuchuna vocha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…