Je waweza mpa mimba mwanamke bila kuiondoa bikra yake !

Trust ME

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
77
Reaction score
6
Wakuu habari zenu!
Kuna dent mmoja ambaye nimedate naye ila alinisumbua sana wakati wa ku do nasidhani kama nilifanikiwa kuvunja bikra yake kwa kuwa alikuwa akijibana mno.
Je inawezekana akashka mimba na huku bikra yake sijafanikiwa kuiondoa?

Wakuu naombeni mnifunze juu ya hili pia! Ni muda gani mimba huanza kujionyesha?
 
Kujionyeshaje!!!!!!!!

tumbo kutokeza!!!!!!!!

kuipima ili kuonyesha una mimba ama huna!!!!!!!

Mlengo wa swali lako ni upande upi
 
Umebugi ee!! Msubirie tu tumbo likue!!!
 
hembu ngoja kwanza...denti wa levo gan??
 
Alikua anakubania kwa maana hiyo wewe kule mtaani hujafika umeishia huku huku juu,mimba bado lakini kama unataka unaweza rudia tena ili akuzuge tena kua yy Bikra.
 
Hakuogopa kama alikuwa anavunja amri ya 6
 
mjomba unalo hilo. inaonesha kuwa haupo makini kabisa na maisha yako mkuu. kisa denti ndio hata kinga haikumbukwi? wewe jiandae kuucheza huo mziki mnene wa rumba limechanganywa na charanga.
All the best daddy in the making.
 
acha wasiwasi , haisaidi kitu..............

wewe subiri matokeo yake tu, ndiyo ujue way forward................
 

Unajipa moyo, pole. Humo kuna bikra au usanii ulifanyiwa. ngoja waje wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…