Huyu wa kiume anakaa Tandika na huyu wa kike anakaa Kigogo, ni wasanii wa maigizo lakini hawana umaarufu wa kutosha, ndio maana hata pamba zao na viatu ni ni vile vya kichina.
Hilo sichana ni lile dege lisilofugika ambalo kila siku liko kurasa za mbele za magazeti ya udaku wenyewe wanaliita staa wa bongo ila hilo gudu gudu jingine sina uhakika nalo maana nimelifananisha na jibonge moja toto la mbunge na msanii maarufu anayekaa jirani na tangi bovu