Waondoke tu haraka kama wana huo uwezo. Kwanza hawana mchango wowote ule kwa Tanganyika. Zaidi tu sisi ndiyo tunawalea lea na kuwadekeza.
Usiwasikilize wanaosema hayo, sio Wanzanzibari wote bali ni badhi tuu, Kamandoo Dr. Salmin aliwaita "vitimbakwiri".Sasa imekuwa kawaida kila wanapokaa na kuketi kwenye vikao utawasikia wakisema wanataka mamlaka kamili ya nchi yao,hata washereheshaji huwaga wanaimba tunataka nchi yetu sasa tumechoka ,na mitaani ndio usije ukabishana nao wanaweza kukutoa roho.
Huwa najiuliza wanataka mamlaka kamili kutoka kwa nani?
Tunataka nchi yetu sasa tumechoka, nani huyo ameichukua nchi yao na wamechoka naye?
Wanaonekana kama wamo kwenye harakati za kudai uhuru akisema raisi au makamo zake ndio imesema nchi au wananchi.
Ndiyo hicho wana-enjoyWaache raha za kulelewa bure na Tanganyika, thubutu!
Ichukuliwe tu haina manufaa kwetu"..... tukiiacha ZnZ itachukuliwa na Waislamu wenye siasa kali" ------William Lukuvi
Sasa imekuwa kawaida kila wanapokaa na kuketi kwenye vikao utawasikia wakisema wanataka mamlaka kamili ya nchi yao,hata washereheshaji huwaga wanaimba tunataka nchi yetu sasa tumechoka ,na mitaani ndio usije ukabishana nao wanaweza kukutoa roho.