Kuna kila Dalili Mh Mpina wanataka kumuumiza ili kuzima hoja zake. Wanataka tumia hoja yakutoa jalada kwa wananchi wakati aliagizwa na spika.
Hoja hii haina mashiko kwa sababu Mh Mpina bungeni anawajibika kwa kiti ila pia anawajibika kwa wananchi hivyo kutoa hoja zake nje ya bunge sio sababu yakumuwajibisha maana alikuwa anawathibitishia wana nchi sio Muongo na kama muongo Alie pewa shutuma ajibu au aende mahakamani.
Tatizo linakuja madam spika anataka kumuumiza mbunge kuzima hoja ya singing jambo linaleta ukakasi ktk muhimili huu.
Wazee wanaona kwamba ikiwa spika atamuwajibisha basi ni dhahiri shahiri kutakuwa na vuguvugu kali ndani ya chama jambo litafanya chama kutoeleweka.
Kumekuwa na hoja nyingi juu ya Mh waziri wa kilimo na uwenda kwa sasa wale walikuwa wakimuaminia wanapaswa kumuondoa.
Ila tetesi zinaonyesha kijana amejuwa kucheza na mioyo ya viongozi kiasi hayo mnayaona uwenda kila mtu kapewa mkate wake na ndio maana unaona hataa madam kiti ame panic wakati yeye ndio alipaswa kumuona kijana ni mzalendo je siri ni nini?
Nakwawale mnamjuwa huyu mama amekuwa akiwazodoa nakuwaweka wabunge kiti moto ila this time kisu kimegusa mfupa. Anaona sasa hata kiti uwenda kikamuacha kwa hili tukio.
- Spika Tulia amburuza Luhanga Mpina Kamati ya maadili