Je, wazijua shule ambazo zina majina yenye utata Tanzania? Zitaje...

Je, wazijua shule ambazo zina majina yenye utata Tanzania? Zitaje...

First Born

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
5,312
Reaction score
1,475
Mimi naanza kwa hizi chache; unapotaja taja na wilaya au mkoa inapopatikana

Senge Secondary School - Singida
Chawi Secondary School - mtwara vijijini
Sengenya Secondary School - mtwara
Mkunya Primary School - Newala
 
Penzi-primary school kwa wasukuma shinyanga.
 
Hii senge Sec ndo kiboko zaidi.

Ikitokea kuna maandano mbele mgeni rasmi halafu mc akawa anataja shule kama hivi;

1: Sasa wanapita walimu na wanafunzi wa msalato
2: Sasa wanapita walimu na wanafunzi wa ilboru
3: Sasa wanapita walimu na wanafunzi [emoji23]
 
Masela Sec School - Shinyanga

Screenshot_2016-10-24-14-32-22.png
 
Back
Top Bottom