Je wazijuwa faida za sukumawiki? Mboga aina fulani ya majani?

Je wazijuwa faida za sukumawiki? Mboga aina fulani ya majani?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Sukumawiki (pia: sukuma wiki) ni aina ya kabichi isiyoumba 'kichwa' na inayoliwa sana katika Afrika ya Mashariki, hususa nchini Kenya. Inatengenezwa kwa kutumia majani mabichi yanayopikwa. Lakini sukumawiki inaweza kutengenezwa pia kwa kutumia aina nyingine za majani yanayofaa kupikwa.
Jina "sukuma wiki" lamaanisha ya kwamba hii ni njia ya kula kwa siku za wiki bila gharama kubwa hadi kufikia wikendi ambakochakula bora kinapatikana - kama pesa inatosha.
Huliwa mara nyingi pamoja na ugali au chapati. Nyama, samaki au karanga inaweza kuungwa mle.

Mfano wa upishi

Katakata majani. Chemsha vikombe viwili vya maji katika sufuria. Ongeza majani yaliyokatwa katika maji. Ongeza chumvi na viungo vingine kama maji ya limau, nyanya na kitunguu kilichokatwa.
Unaweza kuingiza pia vipande vya nyama, samaki na karanga.

628px-Boerenkool.jpg

Sukuma wiki hiyo.....

800px-Kale_on_a_farm_in_Kenya.jpg


66569_535674363126226_533059273_n.jpg

Faida ya Sukumawiki kwa lugha ya kiingereza inaitwa KALE.


Ugali_%26_Sukuma_Wiki.jpg

Ugali kwa sukumawiki...............

Warning.
Tafadhali wauzaji wa ya mboga ya Sukumawiki msije kuzidisha bei jamani kwa sababu ya maneno yangu tafadhali sana.

 
Push a week.
Ngoja nitoke hapo sokoni japo nina hela ya kula hata mount meru.
 
Mzizi umepost thread nyingi, hii ya sukumawiki imebeba maana kubwa ya maisha yetu ya kila siku,big up! big thinker
 
Push the week mboga swaafi.
Tule majani jamani.
Maji+ majani + protein +zoezi =nzuri sana kwa maisha marefu
 
Back
Top Bottom