Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Tunaomba kwanza u classify hizo suti ndo tuweze kuchangia vizuri (kuna suti zinazoshonwa na mafundi wetu mitaani na kuna suti zinazoagizwa nje)
Tunaomba kwanza u classify hizo suti ndo tuweze kuchangia vizuri (kuna suti zinazoshonwa na mafundi wetu mitaani na kuna suti zinazoagizwa nje)
Ukitaka kijione nenda pale MLIMANI CITY utajionea, kuna maduka kazaa, ila kuna hilo kiboko lipo opp. na NMB ndiyo lenye vioja, ukiwauliza wana sema eti zimetoka ITALY, au UK. Kwa hiyo mheshimiwa pinda aliongea kitu anachokifahamu kabisa, hivyo usishangae hata kidogo waziri unapomuona na suti anaweza kuwa amevaa milioni zaidi ya kumi, harafu anaenda kwa WAPINGWA KULA wa 2010 nichagueni mimi!