Awali niliona Instagram lawama za views kupungua,basi nikaingia YouTube nikakuta laki nane na ushee nikascreen short nikatulia tena jioni naenda kucheki nakuta laki saba na ushee
Hapo bila kupepesa macho ni figisu za watoto wa mjini tu,japo now ameshafikisha 1M.