Wee nawe vipi? Unampingaje mtu kwa Biblia wakati yeye hajatumia hiyo Biblia kuhubiri?. Mtu anaongea upumbavu anavaa hereni na kujichubua bado huoni kuwa mhuni mpaka utake hoja zake zipingwe kwa BibliaKatika comments zote nilizopitia hapa JF na ktk mitandao mingine ya kijamii sijaona hata moja inayompinga Nabii Tito kwa hoja za nukuu za vifungu vya Biblia. Wataalam wa Biblia waje wamkosoe kwa hoja za kumnyong'onyeza la sivyo atakuwa na nguvu ktk hoja zake
Mmemezeshwa hivyo kwani anamdhihaki Mungu wapi?je anachohubiri hakitoi kwenye biblia?Huyu jamaa akili zake ni zaidi ya tope, lakini akumbuke kuwa mungu wa mbinguni hadhihakiwi, apandacho mtu ndicho atakachovuna.
Yes,kabisa sema watu ni wanafiki hayo yote wanayafanya sana tuDunia haiishi maajabu...ila hatakama huendi kusali kwake ila una michepuko,unakula bekitatu na unakunywa pombe wewe ni mfuasi wake...ndo mana jamaa kasema anawafuasi wengi.
Kulewa kabla ya muda huo ndiyo kosa,mbona mvinyo wanakunywa asbh siku za ibada?Shonza mwingine huyu huku anachafua maadili ya watanzania, kwanza kunywa pombe kabla ya saa kuni na maeneo yasiyokuwa na kibali ni kosa kisheria
Wema Ni mpuuzi ila sio mpuuzi kiasi hikoWema Sepetu hajawahi kushindwa kitu yule. Usishangae anatoka na huyo nabii bwege.
Ana hoja gani kwani zilizokugusa??Katika comments zote nilizopitia hapa JF na ktk mitandao mingine ya kijamii sijaona hata moja inayompinga Nabii Tito kwa hoja za nukuu za vifungu vya Biblia. Wataalam wa Biblia waje wamkosoe kwa hoja za kumnyong'onyeza la sivyo atakuwa na nguvu ktk hoja zake